Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Amosi 9:9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 9 ‘Kwa maana, tazama! Ninaamuru, nami nitaipepeta nyumba ya Israeli katika mataifa yote,+ kama vile mtu anavyopepeta kichujio, lisianguke chini jiwe la mviringo hata moja.

  • Mathayo 26:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Ndipo Yesu akawaambia: “Ninyi nyote mtakwazika kuhusiana nami usiku huu, kwa maana imeandikwa, ‘Nitampiga mchungaji, nao kondoo wa kundi watatawanyika huku na huku.’+

  • Marko 14:27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 Na Yesu akawaambia: “Ninyi nyote mtakwazika, kwa sababu imeandikwa, ‘Nitampiga mchungaji,+ nao kondoo watatawanyika huku na huku.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki