Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 5:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Ole wao wanaosema kwamba wema ni ubaya na ubaya ni wema,+ wale wanaoweka giza badala ya nuru na nuru badala ya giza, wale wanaoweka uchungu badala ya utamu na utamu badala ya uchungu!+

  • Yohana 12:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 Kwa hiyo Yesu akawaambia: “Nuru itakuwa kati yenu kwa muda kidogo zaidi. Tembeeni wakati mna nuru, ili giza+ lisiwazidi nguvu; na yule ambaye hutembea katika giza hajui anakoenda.+

  • 1 Yohana 2:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Lakini yeye anayemchukia ndugu yake yumo katika giza+ na anatembea katika giza, naye hajui anakoenda,+ kwa sababu giza limeyapofusha macho yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki