-
Luka 2:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Basi wachungaji wakarudi, wakimtukuza na kumsifu Mungu kwa ajili ya mambo yote waliyoyasikia na kuyaona, sawa na walivyokuwa wameambiwa.
-