-
Matendo 16:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Na siku ya sabato tukatoka nje ya lango kando ya mto, ambapo tulikuwa tukifikiri kwamba palikuwa na mahali pa sala; nasi tukaketi na kuanza kusema na wanawake waliokuwa wamekusanyika.
-