Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 25:10
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 “Mtanitengenezea sanduku la mbao za mshita lenye urefu wa mikono miwili na nusu* na upana wa mkono mmoja na nusu na kimo cha mkono mmoja na nusu.+

  • Kutoka 25:23
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 23 “Pia utatengeneza meza+ ya mbao za mshita yenye urefu wa mikono miwili na upana wa mkono mmoja na kimo cha mkono mmoja na nusu.+

  • Kutoka 27:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 27 “Utatengeneza madhabahu kwa mbao za mshita;+ itakuwa na urefu wa mikono mitano* na upana wa mikono mitano. Madhabahu hiyo itakuwa ya mraba na kimo chake kitakuwa mikono mitatu.+

  • Kutoka 30:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Tengeneza fito za mshita na kuzifunika kwa dhahabu.

  • Kutoka 36:36
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 36 Kisha akalitengenezea nguzo nne za mshita na kuzifunika kwa dhahabu, akatengeneza pia kulabu za dhahabu na vikalio vinne vya fedha kwa ajili ya nguzo hizo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki