Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 8:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Akachukua mkate mmoja wa mviringo usio na chachu,+ mkate mmoja wa mviringo wenye mafuta,+ na mkate mmoja mwembamba kutoka katika kikapu cha mikate isiyo na chachu kilichokuwa mbele za Yehova. Akaiweka mikate hiyo juu ya vipande vya mafuta na juu ya mguu wa kulia.

  • Mambo ya Walawi 8:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Kisha Musa akavichukua kutoka mikononi mwao na kuviteketeza kwenye madhabahu juu ya dhabihu ya kuteketezwa ili vifuke moshi. Vitu hivyo vilikuwa dhabihu ya kuwaweka rasmi makuhani, dhabihu yenye harufu ya kupendeza.* Vilikuwa dhabihu kwa Yehova inayochomwa kwa moto.

  • Hesabu 6:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 “‘Hii ndiyo sheria inayomhusu Mnadhiri: Atakapomaliza siku zake za kuwa Mnadhiri,+ ataletwa kwenye mlango wa hema la mkutano.

  • Hesabu 6:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Kisha kuhani atachukua mguu wa mbele uliochemshwa+ wa yule kondoo dume, mkate mmoja wa mviringo usio na chachu kutoka katika kile kikapu, na mkate mmoja mwembamba usio na chachu, na kuviweka mikononi mwa Mnadhiri huyo baada ya nywele zake za Unadhiri kunyolewa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki