Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 5:25-27
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 akaingia na kusimama karibu na bwana wake. Sasa Elisha akamuuliza: “Umetoka wapi, Gehazi?” Lakini akajibu: “Mimi mtumishi wako sikwenda mahali popote.”+ 26 Ndipo akamwambia: “Je, moyo wangu haukuwa pamoja nawe wakati yule mtu aliposhuka kutoka kwenye gari lake ili kukupokea? Je, huu ni wakati wa kupokea fedha au kupokea mavazi au mashamba ya mizeituni au mashamba ya mizabibu au kondoo au ng’ombe au watumishi wa kiume au watumishi wa kike?+ 27 Sasa ukoma wa Naamani+ utashikamana nawe pamoja na wazao wako milele.” Mara moja akaondoka mbele yake akiwa na ukoma, mweupe kama theluji.+

  • 2 Wafalme 8:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Sasa mfalme alikuwa akizungumza na Gehazi mtumishi wa yule mtu wa Mungu wa kweli, akamwambia: “Tafadhali, nisimulie mambo yote makuu ambayo Elisha amefanya.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki