Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Samweli 21:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Mzao wa Warefaimu+ aliyeitwa Ishbi-benobu, aliyekuwa na mkuki wa shaba wenye uzito wa shekeli 300*+ na aliyejihami kwa upanga mpya, alikusudia kumuua Daudi.

  • 2 Samweli 21:20-22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Vita vikatokea tena huko Gathi, ambako kulikuwa na mwanamume mkubwa isivyo kawaida, mwenye vidole 6 katika kila mkono na vidole 6 katika kila mguu, jumla ya vidole 24; naye pia alikuwa mzao wa Warefaimu.+ 21 Aliendelea kuwadhihaki Waisraeli.+ Basi Yonathani mwana wa Shimei,+ ndugu ya Daudi, akamuua.

      22 Watu hao wanne walikuwa wazao wa Warefaimu huko Gathi, na Daudi na watumishi wake ndio waliowaua.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki