Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 25:35
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 35 “‘Ikiwa ndugu yako aliye karibu nawe amekuwa maskini na hawezi kujiruzuku, unapaswa kumsaidia,+ kama ambavyo ungemsaidia mgeni na pia mhamiaji,+ ili aendelee kuwa hai kama wewe.

  • Kumbukumbu la Torati 15:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “Ikiwa mmoja wa ndugu zenu atakuwa maskini miongoni mwenu katika mojawapo ya majiji yaliyo katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa, msiifanye mioyo yenu iwe migumu au kumfumbia mkono ndugu yenu maskini.+ 8 Kwa maana mnapaswa kumfumbulia mkono wenu kwa ukarimu+ na kufanya yote mwezayo kumkopesha* chochote anachohitaji au alichopungukiwa.

  • Yeremia 34:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Yehova baada ya Mfalme Sedekia kufanya agano pamoja na watu wote waliokuwa Yerusalemu ili kuwatangazia uhuru,+ 9 kwamba kila mtu awaachilie huru watumwa wake Waebrania, wa kiume na wa kike, ili mtu yeyote asimfanye Myahudi mwenzake kuwa mtumwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki