-
Yeremia 22:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Ole wake anayejenga nyumba yake bila uadilifu
Na vyumba vyake vya juu bila haki,
Anayemfanya mwanadamu mwenzake amtumikie bure,
Na ambaye anakataa kumlipa malipo yake;+
-