Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Mambo ya Nyakati 13:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 “Na sasa mnafikiri kwamba mnaweza kushindana na ufalme wa Yehova ulio mikononi mwa wana wa Daudi kwa sababu ninyi ni umati mkubwa nanyi mna ndama wa dhahabu ambao Yeroboamu aliwatengenezea wawe miungu yenu.+ 9 Je, hamjawafukuza makuhani wa Yehova,+ wazao wa Haruni, na Walawi, na je, hamjawaweka makuhani wenu wenyewe kama yalivyofanya mataifa ya nchi nyingine?+ Yeyote aliyeleta* ng’ombe dume mchanga na kondoo dume saba, angeweza kuwa kuhani wa vitu ambavyo si miungu.

  • Nehemia 9:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 “Hata hivyo, hawakutii, bali walikuasi+ na kuigeuzia mgongo Sheria yako.* Wakawaua manabii wako waliowaonya wakurudie, nao wakatenda matendo makubwa ya ukosefu wa heshima.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki