Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 25:31-33
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 ‘Kelele zitasikika mpaka kwenye miisho ya dunia,

      Kwa maana Yehova ana kesi dhidi ya mataifa.

      Yeye binafsi atawahukumu wanadamu wote.*+

      Naye atawaangamiza waovu kwa upanga,’ asema Yehova.

      32 Yehova wa majeshi anasema hivi:

      ‘Tazameni! Msiba unaenea kutoka taifa mpaka taifa,+

      Na tufani kubwa itaachiliwa kutoka sehemu za mbali zaidi za dunia.+

      33 “‘Na wale ambao Yehova atawaua siku hiyo watatapakaa kutoka mwisho mmoja wa dunia mpaka mwisho wa pili wa dunia. Hawataombolezewa, wala kukusanywa wala kuzikwa. Watakuwa kama mbolea juu ya ardhi.’

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki