-
Mika 6:6-8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Nitakuja mbele za Yehova nikiwa na nini?
Nitainama mbele za Mungu aliye juu nikiwa na nini?
Je, nitakuja mbele zake nikiwa na dhabihu nzima za kuteketezwa,
Nikiwa na ndama wenye umri wa mwaka mmoja?+
Je, nitamtoa mwanangu mzaliwa wa kwanza kwa ajili ya uasi wangu,
8 Ee mwanadamu, amekuambia yaliyo mema.
Na Yehova anataka* nini kutoka kwako?
-