Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 44:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Mhunzi hutengeneza sanamu ya chuma kwenye makaa kwa kifaa chake.*

      Anaiunda kwa nyundo,

      Anaitengeneza kwa mkono wake wenye nguvu.+

      Kisha anahisi njaa na kuishiwa na nguvu;

      Hanywi maji na anachoka.

  • Isaya 46:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Kuna wale wanaomwaga dhahabu kwa wingi kutoka kwenye mikoba yao;

      Wanapima fedha katika mizani.

      Wanamwajiri mfua chuma, naye huitengeneza kuwa mungu.+

      Kisha wanasujudu, naam, wanaiabudu.*+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki