Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 27:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Siku hiyo pembe kubwa itapigwa,+ na wale wanaoangamia katika nchi ya Ashuru+ na wale waliotawanywa katika nchi ya Misri+ watakuja na kumwinamia Yehova kwenye mlima mtakatifu huko Yerusalemu.+

  • Yeremia 44:28
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 28 Ni wachache tu watakaoponyoka upanga nchini Misri na kurudi katika nchi ya Yuda.+ Kisha watu wote wa Yuda waliobaki ambao walienda kukaa nchini Misri watajua ni neno la nani lililotimia, langu au lao!”’”

  • Mika 7:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Siku hiyo watakuja kwako

      Watatoka mbali kule Ashuru na katika majiji ya Misri,

      Kutoka Misri hadi kufika Mto Efrati;

      Kutoka bahari mpaka bahari na kutoka mlima mpaka mlima.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki