Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 1:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Katikati yake kulikuwa na mfano wa viumbe hai wanne,+ na kila mmoja wao alifanana na mwanadamu.

  • Ezekieli 1:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Miguu yao ilikuwa imenyooka, na nyayo za miguu yao zilikuwa kama nyayo za ndama, nayo ilikuwa iking’aa kama shaba iliyong’arishwa.+

  • Danieli 10:5, 6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 niliinua macho yangu nikamwona mwanamume aliyevaa mavazi ya kitani,+ na kiunoni mwake alikuwa na mshipi wa dhahabu kutoka Ufazi. 6 Mwili wake ulikuwa kama krisolito,+ uso wake ulionekana kama radi, macho yake yalikuwa kama mienge inayowaka moto, mikono yake na miguu yake ilionekana kama shaba iliyong’arishwa,+ na mvumo wa maneno yake ulikuwa kama mvumo wa umati wa watu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki