14 Kila mmoja wao alikuwa na nyuso nne. Uso wa kwanza ulikuwa uso wa kerubi, uso wa pili ulikuwa uso wa mwanadamu, wa tatu ulikuwa uso wa simba, na wa nne ulikuwa uso wa tai.+
15 Na wale makerubi walikuwa wakiinuka—walikuwa viumbe hai walewale niliowaona kwenye mto Kebari+—