Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 21:2, 3
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  2 Nimeambiwa maono ya kutisha:

      Mwenye hila anatenda kwa hila,

      Na mwangamizaji, anaangamiza.

      Nenda juu, ewe Elamu! Zingira, ewe Umedi!+

      Nitakomesha kilio chote cha uchungu alichosababisha.+

       3 Ndiyo sababu nina maumivu makali.*+

      Ninafurukuta kwa uchungu,

      Uchungu kama wa mwanamke anayezaa.

      Nimetaabika sana hivi kwamba siwezi kusikia;

      Nimesumbuka sana hivi kwamba siwezi kuona.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki