Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 3:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Waisraeli wote kuanzia Dani mpaka Beer-sheba wakapata habari kwamba Samweli alikuwa amewekwa rasmi kuwa nabii wa Yehova.

  • 1 Wafalme 17:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Sasa Eliya*+ Mtishbi, mkaaji wa Gileadi,+ alimwambia hivi Ahabu: “Kwa hakika kama anavyoishi Yehova Mungu wa Israeli ninayemtumikia,* katika miaka hii hakutakuwa na umande wala mvua isipokuwa kwa neno langu!”+

  • 1 Wafalme 19:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Basi akaondoka huko, akamkuta Elisha mwana wa Shafati akilima kwa jozi 12 za ng’ombe dume, naye alikuwa na jozi ya 12. Basi Eliya akamkaribia, akalitupa vazi lake rasmi+ juu yake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki