Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 16:13-15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Alipofika katika eneo la Kaisaria Filipi, Yesu akawauliza wanafunzi wake: “Watu wanasema Mwana wa binadamu ni nani?”+ 14 Wakajibu: “Baadhi yao husema Yohana Mbatizaji,+ wengine Eliya,+ na bado wengine Yeremia au mmoja wa manabii.” 15 Akawauliza: “Hata hivyo, ninyi mnasema mimi ni nani?”

  • Luka 9:18, 19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 Baadaye, alipokuwa akisali akiwa peke yake, wanafunzi wakaja, naye akawauliza: “Umati unasema mimi ni nani?”+ 19 Wakamjibu: “Yohana Mbatizaji, lakini wengine wanasema Eliya, na bado wengine husema mmoja wa manabii wa kale amefufuliwa.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki