Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Luka 23:20-25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Pilato akawapazia sauti tena, kwa sababu alitaka kumfungua Yesu.+ 21 Ndipo wakaanza kupiga kelele, wakisema: “Atundikwe mtini! Atundikwe mtini!”*+ 22 Akawaambia mara ya tatu: “Kwa nini? Amefanya kosa gani? Mimi sikuona jambo lolote linalofanya astahili kifo; kwa hiyo nitamwadhibu kisha nimfungue.” 23 Lakini wakazidi kusisitiza, wakidai kwa sauti kubwa, kwamba auawe,* na sauti zao zikashinda.+ 24 Basi Pilato akaamua kutimiza dai lao. 25 Akamfungua yule mtu waliyemtaka, ambaye alikuwa amefungwa gerezani kwa sababu ya uchochezi na mauaji, lakini akamkabidhi Yesu mikononi mwao ili wamtendee wanavyopenda.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki