Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 9:7-9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 Kisha Musa akamwambia Haruni: “Nenda kwenye madhabahu, utoe dhabihu yako ya dhambi+ na dhabihu yako ya kuteketezwa, utoe dhabihu ya kufunika dhambi zako mwenyewe+ na za nyumba yako; kisha uwatolee watu dhabihu ya kufunika dhambi zao,+ kama Yehova alivyoamuru.”

      8 Haruni akaenda mara moja kwenye madhabahu na kumchinja yule ndama wa dhabihu ya dhambi kwa ajili yake mwenyewe.+ 9 Kisha wanawe wakamletea damu,+ naye akachovya kidole chake katika damu hiyo na kupaka pembe za madhabahu, na damu iliyobaki akaimwaga kwenye msingi wa madhabahu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki