Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Wimbo wa Sulemani 6
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

Wimbo wa Sulemani—Yaliyomo

    • MSHULAMI AKIWA YERUSALEMU (3:6–8:4)

Wimbo wa Sulemani 6:2

Marejeo

  • +Wim 1:7; 2:16

Wimbo wa Sulemani 6:3

Marejeo

  • +Wim 7:10
  • +Wim 2:16

Wimbo wa Sulemani 6:4

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “Jiji Linalopendeza.”

Marejeo

  • +1Fa 14:17; 15:33
  • +Wim 1:9
  • +Zb 48:2
  • +Wim 6:10

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 20

    11/15/1987, uku. 25

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 20

Wimbo wa Sulemani 6:5

Marejeo

  • +Wim 1:15; 4:9; 7:4
  • +Wim 4:1-3

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 19

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 19

Wimbo wa Sulemani 6:8

Marejeo

  • +1Fa 11:1

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    12/15/2011, uku. 11

  • Fahirishi ya Machapisho

    w11 12/15 11

Wimbo wa Sulemani 6:9

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “ndiye aliye safi sana kwa yule aliyemzaa.”

Marejeo

  • +Wim 2:14

Wimbo wa Sulemani 6:10

Maelezo ya Chini

  • *

    Tnn., “anayetazama chini.”

Marejeo

  • +Wim 6:4

Wimbo wa Sulemani 6:11

Marejeo

  • +Mhu 2:5

Wimbo wa Sulemani 6:12

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “watu wangu walio tayari kusaidia.”

Wimbo wa Sulemani 6:13

Maelezo ya Chini

  • *

    Au “dansi ya Mahanaimu.”

Marejeo

  • +Wim 1:6

Fahirisi Mbalimbali

  • Mwongozo wa Utafiti

    Mnara wa Mlinzi,

    11/15/2006, uku. 20

  • Fahirishi ya Machapisho

    w06 11/15 20

Tafsiri Mbalimbali

Bofya nambari ya mstari ili kuona mstari huo katika tafsiri mbalimbali za Biblia.

Jumla

Wim. 6:2Wim 1:7; 2:16
Wim. 6:3Wim 7:10
Wim. 6:3Wim 2:16
Wim. 6:41Fa 14:17; 15:33
Wim. 6:4Wim 1:9
Wim. 6:4Zb 48:2
Wim. 6:4Wim 6:10
Wim. 6:5Wim 1:15; 4:9; 7:4
Wim. 6:5Wim 4:1-3
Wim. 6:81Fa 11:1
Wim. 6:9Wim 2:14
Wim. 6:10Wim 6:4
Wim. 6:11Mhu 2:5
Wim. 6:13Wim 1:6
  • Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • Soma katika Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • 11
  • 12
  • 13
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
Wimbo wa Sulemani 6:1-13

Wimbo wa Sulemani

6 “Mpenzi wako ameenda wapi,

Ewe mwanamke mrembo kuliko wote?

Mpenzi wako amegeuka na kufuata njia gani?

Acha tukamtafute pamoja nawe.”

 2 “Mpenzi wangu ameshuka kwenda kwenye bustani yake,

Kwenye kitalu cha mimea ya viungo,

Kuchunga kondoo kwenye bustani

Na kuchuma mayungiyungi.+

 3 Mimi ni wa mpenzi wangu,

Na mpenzi wangu ni wangu mimi.+

Anachunga kondoo kati ya mayungiyungi.”+

 4 “Wewe ni mrembo, kama Tirsa,*+ mpenzi wangu,+

Unapendeza kama Yerusalemu,+

Unavutia sana kama majeshi yaliyokusanyika kuzunguka bendera zao.+

 5 Usinitazame,+

Ukinitazama nahangaika.

Nywele zako ni kama kundi la mbuzi

Linaloshuka kwenye miteremko ya Gileadi.+

 6 Meno yako ni kama kundi la kondoo

Ambao wametoka kuoshwa,

Wote wamezaa mapacha,

Na hakuna yeyote aliyepoteza watoto wake.

 7 Kama kipande cha komamanga

Ndivyo yalivyo mashavu yako nyuma ya shela yako.

 8 Hata kukiwa na malkia 60

Na masuria 80

Na wasichana wasiohesabika.+

 9 Lakini kuna mmoja tu ambaye ni njiwa wangu,+ mpenzi wangu asiye na kasoro.

Binti pekee kwa mama yake.

Yeye ni kipenzi cha mama yake.*

Mabinti wanapomwona, humtangaza kuwa mwenye furaha;

Malkia na masuria humsifu.

10 ‘Ni mwanamke gani anayeng’aa* kama mapambazuko,

Mrembo kama mwezi mpevu,

Aliye mwangavu kama nuru ya jua,

Mwenye kuvutia sana kama majeshi yaliyokusanyika kuzunguka bendera zao?’”+

11 “Nilishuka kwenye bustani ya miti yenye kokwa+

Ili nione machipukizi bondeni,

Nione ikiwa mzabibu umechipua

Ikiwa mikomamanga imechanua.

12 Bila kutarajia,

Tamaa yangu ilinifikisha

Kwenye magari ya watu wangu waungwana.”*

13 “Rudi, rudi, ewe Mshulami!

Rudi, rudi,

Ili tukutazame!”

“Kwa nini mnamkodolea macho Mshulami?”+

“Yeye ni kama dansi ya kambi mbili!”*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki