Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w77 4/1 uku. 151
  • ‘Kuja Chini ya Kivuli’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Kuja Chini ya Kivuli’
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Habari Zinazolingana
  • Usalama wa Kiroho Wapewa Kwetu na Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • “Kati ya Bonde la Uvuli wa Mauti”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Zaburi 23:4—“Nijapopita Kati ya Bonde la Uvuli wa Mauti”
    Mistari ya Biblia Yafafanuliwa
  • “Mfalme Atatawala kwa Ajili ya Uadilifu”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
w77 4/1 uku. 151

‘Kuja Chini ya Kivuli’

Kivuli kinacholetwa na jabali, wingu, jengo, mti au kitu kingine kinaweza kukinga mtu kwa njia nzuri, kama na jua kali kwa mfano. Ndiyo sababu usemi wa Biblia ‘kuja chini ya kivuli cha kitu’ kwamaanisha kuingia mahali pa ulinzi, usalama au kimbilio. Kwa mfano, Lutu aliwaambia wanaume wa Sodoma kwa habari ya malaika waliokuwa wamemtembelea hivi: “Lakini kwa wanaume hawa tu msifanye lo lote, kwa kuwa hiyo ndiyo sababu wamekuja chini ya kivuli cha dari yangu.” (Mwa. 19:8, NW) Tazama pia Isaya 32:1, 2.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki