Habari Za Kitheokrasi
Grenada: Kilele kipya cha wahubiri 493 kiliripotiwa katika Machi. Hiyo ilikuwa ongezeko la asilimia 10 kupita Machi 1991.
Rwanda: Habari njema! Kulikuwa kilele kipya cha wahubiri 1,502 katika Machi.
Uganda: Tunafurahi kuripoti kwamba kusajiliwa tena kwa International Bible Students Association kulikubaliwa katika Uganda mnamo Machi 25, 1992.