Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 3/15 uku. 7
  • Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 30
  • Huduma Yetu ya Ufalme—2015
  • Vichwa vidogo
  • JUMA LINALOANZA MACHI 30
Huduma Yetu ya Ufalme—2015
km 3/15 uku. 7

Ratiba ya Juma Linaloanza Machi 30

JUMA LINALOANZA MACHI 30

Wimbo 57 na Sala

Funzo la Biblia la Kutaniko:

cl sura ya 22 ¶9-17 (Dak. 30)

Shule ya Huduma ya Kitheokrasi:

Usomaji wa Biblia: 1 Samweli 14-15 (Dak. 8)

Na. 1: 1 Samweli 14:36-45 (Isizidi dak. 3)

Na. 2: Mume Hapaswi Kumruhusu Mke Wake Amzuie Kumtumikia Mungu—td 38C (Dak. 5)

Na. 3: Utimizo wa Unabii wa Biblia Kuhusu Siku za Mwisho—igw uku. 13 ¶1 (Dak. 5)

Mkutano wa Utumishi:

Kichwa cha Mwezi Huu: ‘Uwe Tayari kwa Ajili ya Kila Kazi Njema.’—Tito 3:1.

Wimbo 37

Dak. 15: Video Nyinginezo Katika Tovuti Yetu kwa Ajili ya Huduma. Mazungumzo. Anza kwa kuonyesha video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? Kisha, zungumzia jinsi ya kutumia video hiyo katika utumishi. Halafu, fanya vivyo hivyo kuhusu video Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme? Tia ndani onyesho.

Dak. 15: “Tumia Kijitabu ‘Utangulizi wa Neno la Mungu’—Kuanzisha Mazungumzo.” Maswali na majibu. Waombe wasikilizaji wapendekeze njia nyingine za kutumia kijitabu “Utangulizi wa Neno la Mungu” katika huduma. Tia ndani onyesho.

Wimbo 114 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki