1
2
Daudi, mfalme wa Yuda (1-7)
Ish-boshethi, mfalme wa Israeli (8-11)
Vita kati ya nyumba ya Daudi na nyumba ya Sauli (12-32)
3
Nyumba ya Daudi yazidi kupata nguvu (1)
Wana wa Daudi (2-5)
Abneri ajiunga na Daudi (6-21)
Yoabu amuua Abneri (22-30)
Daudi amwombolezea Abneri (31-39)
4
5
Daudi awekwa kuwa mfalme wa nchi yote ya Israeli (1-5)
Yerusalemu latekwa (6-16)
Daudi awashinda Wafilisti (17-25)
6
7
Daudi hatajenga hekalu (1-7)
Agano pamoja na Daudi kwa ajili ya ufalme (8-17)
Sala ya Daudi ya shukrani (18-29)
8
9
10
11
Daudi afanya uzinzi na Bath-sheba (1-13)
Daudi apanga Uria auawe (14-25)
Daudi amchukua Bath-sheba kuwa mke wake (26, 27)
12
Nathani amkaripia Daudi (1-15a)
Mwana wa Bath-sheba afa (15b-23)
Bath-sheba amzaa Sulemani (24, 25)
Jiji la Raba la Waamoni latekwa (26-31)
13
Amnoni ambaka Tamari (1-22)
Absalomu amuua Amnoni (23-33)
Absalomu akimbilia Geshuri (34-39)
14
Yoabu na mwanamke Mtekoa (1-17)
Daudi agundua njama ya Yoabu (18-20)
Absalomu aruhusiwa kurudi (21-33)
15
Njama na uasi wa Absalomu (1-12)
Daudi akimbia kutoka Yerusalemu (13-30)
Ahithofeli ajiunga na Absalomu (31)
Hushai atumwa kuvuruga ushauri wa Ahithofeli (32-37)
16
Siba amchongea Mefiboshethi (1-4)
Shimei amtukana Daudi (5-14)
Absalomu ampokea Hushai (15-19)
Ushauri wa Ahithofeli (20-23)
17
18
19
Daudi amwombolezea Absalomu (1-4)
Yoabu amkaripia Daudi (5-8a)
Daudi arudi Yerusalemu (8b-15)
Shimei aomba msamaha (16-23)
Mefiboshethi athibitishwa kuwa hana hatia (24-30)
Barzilai aheshimiwa (31-40)
Makabila yazozana (41-43)
20
Uasi wa Sheba; Yoabu amuua Amasa (1-13)
Sheba afuatwa na kukatwa kichwa (14-22)
Wakuu katika utawala wa Daudi (23-26)
21
22
23
24
Dhambi ya Daudi ya kuwahesabu watu (1-14)
Ugonjwa hatari wasababisha vifo vya watu 70,000 (15-17)
Daudi ajenga madhabahu (18-25)