2 MAMBO YA NYAKATI
YALIYOMO
1
2
3
4
Madhabahu, Bahari, na mabeseni (1-6)
Vinara vya taa, meza, na nyua (7-11a)
Vyombo vyote vya hekalu vyakamilishwa (11b-22)
5
6
7
Hekalu lajaa utukufu wa Yehova (1-3)
Sherehe za kuzindua hekalu (4-10)
Yehova amtokea Sulemani (11-22)
8
Miradi mingine ya ujenzi ya Sulemani (1-11)
Ibada ya hekaluni yapangwa (12-16)
Meli za Sulemani (17, 18)
9
Malkia wa Sheba amtembelea Sulemani (1-12)
Utajiri wa Sulemani (13-28)
Kifo cha Sulemani (29-31)
10
11
Utawala wa Rehoboamu (1-12)
Walawi washikamanifu wahamia Yuda (13-17)
Familia ya Rehoboamu (18-23)
12
13
14
Kifo cha Abiya (1)
Asa, mfalme wa Yuda (2-8)
Asa awashinda Waethiopia 1,000,000 (9-15)
15
16
17
Yehoshafati, mfalme wa Yuda (1-6)
Kampeni ya kufundisha (7-9)
Nguvu za kijeshi za Yehoshafati (10-19)
18
Yehoshafati aungana na Ahabu (1-11)
Mikaya atabiri kwamba watashindwa (12-27)
Ahabu auawa Ramoth-gileadi (28-34)
19
20
Mataifa jirani yawatisha watu wa Yuda (1-4)
Yehoshafati asali apate msaada (5-13)
Jibu la Yehova (14-19)
Watu wa Yuda waokolewa kimuujiza (20-30)
Mwisho wa utawala wa Yehoshafati (31-37)
21
Yehoramu, mfalme wa Yuda (1-11)
Barua kutoka kwa Eliya (12-15)
Mwisho mbaya wa Yehoramu (16-20)
22
23
24
Utawala wa Yehoashi (1-3)
Yehoashi arekebisha hekalu (4-14)
Uasi imani wa Yehoashi (15-22)
Yehoashi auawa (23-27)
25
Amazia, mfalme wa Yuda (1-4)
Apigana vita na Edomu (5-13)
Amazia aabudu sanamu (14-16)
Apigana vita na Mfalme Yehoashi wa Israeli (17-24)
Kifo cha Amazia (25-28)
26
Uzia, mfalme wa Yuda (1-5)
Kampeni za kivita za Uzia (6-15)
Uzia mwenye kiburi apigwa na ukoma (16-21)
Kifo cha Uzia (22, 23)
27
28
Ahazi, mfalme wa Yuda (1-4)
Ashindwa na Wasiria na Waisraeli (5-8)
Odedi awaonya Waisraeli (9-15)
Watu wa Yuda wanyenyekezwa (16-19)
Ahazi aabudu sanamu; kifo chake (20-27)
29
Hezekia, mfalme wa Yuda (1, 2)
Mabadiliko yaliyofanywa na Hezekia (3-11)
Hekalu latakaswa (12-19)
Utumishi wa hekaluni waanzishwa tena (20-36)
30
31
32
Senakeribu alitisha jiji la Yerusalemu (1-8)
Senakeribu ampinga Yehova (9-19)
Malaika aangamiza jeshi la Ashuru (20-23)
Ugonjwa wa Hezekia na kiburi chake (24-26)
Mambo aliyotimiza Hezekia na kifo chake (27-33)
33
Manase, mfalme wa Yuda (1-9)
Manase atubu uovu wake (10-17)
Kifo cha Manase (18-20)
Amoni, mfalme wa Yuda (21-25)
34
Yosia, mfalme wa Yuda (1, 2)
Mabadiliko yaliyofanywa na Yosia (3-13)
Kitabu cha Sheria chapatikana (14-21)
Unabii wa Hulda kuhusu msiba (22-28)
Yosia awasomea watu kitabu kilichopatikana (29-33)
35
36
Yehoahazi, mfalme wa Yuda (1-3)
Yehoyakimu, mfalme wa Yuda (4-8)
Yehoyakini, mfalme wa Yuda (9, 10)
Sedekia, mfalme wa Yuda (11-14)
Uharibifu wa Yerusalemu (15-21)
Koreshi aagiza hekalu lijengwe upya (22, 23)