NAHUMU YALIYOMO 1 Mungu awalipiza kisasi maadui wake (1-7) Mungu anataka watu wamwabudu yeye peke yake (2) Yehova huwajali wanaomkimbilia (7) Ninawi kuangamizwa (8-14) Taabu haitatokea mara ya pili (9) Taifa la Yuda latangaziwa habari njema (15) 2 Ninawi kuangamizwa (1-13) “Malango ya mto yatafunguliwa” (6) 3 “Ole kwa jiji la umwagaji wa damu.” (1-19) Sababu za kuihukumu Ninawi (1-7) Ninawi litaangamizwa kama No-amoni (8-12) Ninawi halitaepuka kuangamizwa (13-19)