1
Ujumbe kwa Theofilo (1-5)
Mashahidi mpaka sehemu ya mbali ya dunia (6-8)
Yesu apaa mbinguni (9-11)
Wanafunzi wakusanyika kwa umoja (12-14)
Mathia achaguliwa kuchukua mahali pa Yuda (15-26)
2
Wanafunzi wapokea roho takatifu siku ya Pentekoste (1-13)
Hotuba ya Petro (14-36)
Umati wakubaliana na hotuba ya Petro (37-41)
Ushirika wa Kikristo (42-47)
3
4
Petro na Yohana wakamatwa (1-4)
Kesi mbele ya Sanhedrini (5-22)
Wasali ili wapate ujasiri (23-31)
Wanafunzi washiriki vitu vyao pamoja (32-37)
5
Anania na Safira (1-11)
Mitume wafanya ishara nyingi (12-16)
Wafungwa gerezani, kisha waachiliwa huru (17-21a)
Washtakiwa mbele ya Sanhedrini tena (21b-32)
Ushauri wa Gamalieli (33-40)
Kuhubiri nyumba kwa nyumba (41, 42)
6
7
8
Sauli mtesaji (1-3)
Filipo apata matokeo mazuri katika huduma huko Samaria (4-13)
Petro na Yohana watumwa Samaria (14-17)
Simoni ajaribu kununua roho takatifu (18-25)
Toashi Mwethiopia (26-40)
9
Sauli akiwa njiani kuelekea Damasko (1-9)
Anania atumwa kumsaidia Sauli (10-19a)
Sauli ahuburi kumhusu Yesu huko Damasko (19b-25)
Sauli atembelea Yerusalemu (26-31)
Petro amponya Ainea (32-35)
Dorkasi mkarimu afufuliwa (36-43)
10
Maono ya Kornelio (1-8)
Maono ya Petro kuhusu wanyama waliotakaswa (9-16)
Petro amtembelea Kornelio (17-33)
Petro awatangazia habari njema watu wa mataifa (34-43)
Watu wa mataifa wapokea roho takatifu na kubatizwa (44-48)
11
Petro atoa ripoti kwa mitume (1-18)
Barnaba na Sauli huko Antiokia ya Siria (19-26)
Agabo atabiri kuhusu njaa (27-30)
12
Yakobo auawa; Petro afungwa gerezani (1-5)
Petro awekwa huru kimuujiza (6-19)
Malaika ampiga Herode (20-25)
13
Barnaba na Sauli watumwa wakiwa wamishonari (1-3)
Huduma huko Kipro (4-12)
Hotuba ya Paulo huko Antiokia ya Pisidia (13-41)
Amri ya kinabii ya kuwageukia watu wa mataifa (42-52)
14
Ongezeko na upinzani huko Ikoniamu (1-7)
Wadhaniwa kuwa miungu huko Listra (8-18)
Paulo aokoka kufa baada ya kupigwa mawe (19, 20)
Kuyaimarisha makutaniko (21-23)
Kurudi huko Antiokia ya Siria (24-28)
15
Bishano kuhusu tohara huko Antiokia (1, 2)
Suala lapelekwa Yerusalemu (3-5)
Wazee na mitume wafanya mkutano (6-21)
Barua kutoka baraza linaloongoza (22-29)
Makutaniko yatiwa moyo kupitia barua (30-35)
Paulo na Barnaba waachana (36-41)
16
Paulo amchagua Timotheo (1-5)
Maono kuhusu mwanamume Mmakedonia (6-10)
Lidia awa mwamini huko Filipi (11-15)
Paulo na Sila wafungwa gerezani (16-24)
Mlinzi wa jela na nyumba yake wabatizwa (25-34)
Paulo ataka ombi rasmi la msamaha (35-40)
17
Paulo na Sila huko Thesalonike (1-9)
Paulo na Sila huko Beroya (10-15)
Paulo huko Athene (16-22a)
Hotuba ya Paulo katika Areopago (22b-34)
18
Huduma ya Paulo huko Korintho (1-17)
Kurudi Antiokia ya Siria (18-22)
Paulo aenda Galatia na Frigia (23)
Apolo mwenye ufasaha asaidiwa (24-28)
19
Paulo huko Efeso; baadhi ya watu wabatizwa tena (1-7)
Paulo ajishughulisha na kazi ya kufundisha (8-10)
Mafanikio licha ya roho waovu (11-20)
Machafuko huko Efeso (21-41)
20
Paulo akiwa Makedonia na Ugiriki (1-6)
Eutiko afufuliwa huko Troa (7-12)
Kutoka Troa kwenda Mileto (13-16)
Paulo akutana na wazee wa Efeso (17-38)
21
Safarini kwenda Yerusalemu (1-14)
Kuwasili Yerusalemu (15-19)
Paulo afuata ushauri wa wazee (20-26)
Vurugu hekaluni; Paulo akamatwa (27-36)
Paulo aruhusiwa kuhutubia umati (37-40)
22
Paulo ajitetea mbele ya umati (1-21)
Paulo atumia uraia wake wa Roma (22-29)
Baraza la Sanhedrini lakutana (30)
23
Paulo azungumza mbele ya Sanhedrini (1-10)
Bwana amtia nguvu Paulo (11)
Njama ya kumuua Paulo (12-22)
Paulo apelekwa Kaisaria (23-35)
24
Mashtaka dhidi ya Paulo (1-9)
Paulo ajitetea mbele ya Feliksi (10-21)
Kesi ya Paulo yacheleweshwa kwa miaka miwili (22-27)
25
Kesi ya Paulo mbele ya Festo (1-12)
Festo ashauriana na Mfalme Agripa (13-22)
Paulo mbele ya Agripa (23-27)
26
Paulo ajitetea mbele ya Agripa (1-11)
Paulo aeleza jinsi alivyogeuka (12-23)
Maoni ya Festo na Agripa (24-32)
27
Paulo asafiri baharini kwenda Roma (1-12)
Meli yapigwa na dhoruba (13-38)
Wavunjikiwa na meli (39-44)
28
Ufuoni huko Malta (1-6)
Baba ya Publio aponywa (7-10)
Kuelekea Roma (11-16)
Paulo azungumza na Wayahudi huko Roma (17-29)
Paulo ahubiri kwa ujasiri kwa miaka miwili (30, 31)