Mkusanyiko wa “Wasifaji Wenye Shangwe”
Mikusanyiko ya wilaya ya Mashahidi wa Yehova ya siku tatu yaanza juma la kwanza la Novemba hadi Januari 1996, kukiwa na 17 iliyopangiwa Afrika Mashariki na Rwanda. Furahia mazungumzo ya Biblia yenye kuhamasisha. Vipindi vyote havilipiwi.
Mahali pa Mikusanyiko ya Wilaya ya 1995-1996
Novemba 3-5, 1995
Mbeya, Tanzania
Tukuyu, Tanzania
Novemba 10-12, 1995
Dar es Salaam, Tanzania
Mbozi, Tanzania
Desemba 1-3, 1995
Eldoret, Kenya
Mbale, Uganda
Mwanza, Tanzania
Desemba 8-10, 1995
Kampala, Uganda
Kisumu, Kenya
Machakos, Kenya
Desemba 15-17, 1995
Kisii, Kenya
Mombasa, Kenya
Moshi, Tanzania
Desemba 22-24, 1995
Nairobi, Kenya
Nakuru, Kenya
Nanyuki, Kenya
Januari 5-7, 1996
Kigali, Rwanda