Karibuni Kwenye “WAJUMBE WA AMANI YA KIMUNGU” Mkusanyiko wa Wilaya
Mfululizo huu wa mikusanyiko ya siku tatu ya Mashahidi wa Yehova utaanza Novemba 1 hadi Desemba 29, 1996 katika Afrika Mashariki, na kufuliza baadaye katika Rwanda hadi Januari 12, 1997. Katika Afrika Mashariki pekee, kumeratibiwa mikusanyiko 19! Usikose toaji nyingi zenye kuhamasisha za Biblia na maonyesho yenye kutumika. Na ufurahie drama yenye mavazi kamili inayotegemea matendo ya kishujaa ya Mwamuzi Gideoni na kikundi chake kidogo.—Waamuzi, sura 6 na 7.
Vipindi vyote havilipiwi. Hudhuria mkusanyiko ulio karibu nawe mahali popote palipoorodheshwa chini.
Mahali pa Mikusanyiko ya Wilaya ya 1996-1997
Novemba 1-3
Mbeya, Tanzania
Tukuyu, Tanzania
Novemba 8-10
Dar es Salaam, Tanzania
Mbozi, Tanzania
Novemba 29–Desemba 1
Mombasa, Kenya
(Kiswahili)
Moshi, Tanzania
Desemba 6-8
Eldoret, Kenya
Kisii, Kenya
Mombasa, Kenya
(Kiingereza)
Mwanza, Tanzania
Desemba 13-15
Kisumu, Kenya
Machakos, Kenya
Desemba 20-22
Kampala, Uganda
(Kiganda)
Mbale, Uganda
Nairobi, Kenya
(Kiingereza na Kiswahili)
Nakuru, Kenya
Desemba 27-29
Kampala, Uganda
(Kiingereza)
Kigali, Rwanda
Nanyuki, Kenya
Januari 3-5
Butare, Rwanda
Januari 10-12
Gisenyi, Rwanda