Ukurasa wa Pili
Masimulizi ya Waokokaji wa Tetemeko la Ardhi 3-9
Matetemeko makubwa ya ardhi husababisha vifo vingi na uharibifu mkubwa. Waokokaji wamesaidiwaje kukabiliana na hali yao?
Kuwachunguza Wanyama-Pori 13
Kwa nini watafiti wanawachunguza wanyama? Wamegundua nini?
Mimba Yangu Iliharibika 20
Simulizi la mama mmoja ambaye mimba yake iliharibika.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
JALADA: AP Photo/Murad Sezer