Yaliyomo
Februari 2008
Je, Uhalifu Utakwisha?
Mamilioni ya watu huishi kwa woga kwa sababu ya uhalifu. Je, kuna suluhisho la tatizo la uhalifu, au tunapaswa tu kukata tamaa? Soma majibu yenye kufariji ya Biblia.
4 Je, Tatizo la Uhalifu Linaweza Kutatuliwa?
8 Hivi Karibuni Uhalifu ‘Hautakuwapo Tena’
19 Tarehe ya Hati za Zamani Hujulikanaje?
23 Reli Iliyochukua Zaidi ya Miaka 120 Kujengwa
31 Ungejibuje?
32 Kitabu kwa Ajili ya Watu Wote
Kuhifadhi Joto Katika Theluji 16
Udongo uliofunikwa na theluji unaweza kuonekana kuwa hauna viumbe wowote. Lakini kumbe kuna viumbe wengi sana!
Ninaweza Kukabilianaje na Ugonjwa au Ulemavu? 26
Soma kuhusu jinsi ambavyo vijana wanne wanakabiliana na ugonjwa na ulemavu.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Petrels: By courtesy of John R. Peiniger
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 3]
Robson Fernandes/Agencia Estado/WpN