Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 12/10 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Amkeni!—2010
  • Habari Zinazolingana
  • Krismasi Inamaanisha Nini Kwako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
  • Je! Ni Lazima Wewe Usherehekee Krismasi?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Krismasi (Noёl) Ilianza Zamani Sana
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
  • Ni Nini Kilichoipata Krismasi ya Kidesturi?
    Amkeni!—1993
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2010
g 12/10 kur. 1-2

Yaliyomo

Desemba 2010

Ukweli Kuhusu Krismasi

Jifunze jinsi kujua chanzo cha desturi za Krismasi kumefanya familia nyingi zifanye mabadiliko.

3 Kwa Nini Watu Wengi Zaidi Wanasherehekea Krismasi?

5 Ukweli Kuhusu Krismasi

8 “Kweli Itawaweka Ninyi Huru”!

12 Mungu Amenifariji Katika Majaribu Yote

20 Matetemeko Makubwa Zaidi Yanatazamiwa

22 Vijana Huuliza

Ninaweza Kueleza kwa Njia Gani Maoni ya Biblia Kuhusu Ngono Kati ya Watu wa Jinsia Moja?

25 Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ustadi wa Kuogelea wa Samoni

26 Kitabu Kinachotegemeka Sehemu ya 2—Ashuru na Historia ya Biblia

29 Kuutazama Ulimwengu

30 Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2010

31 Mazungumzo ya Familia

32 Alijifunza Wakati Mmoja na Watoto Wake

Kwa Nini Mungu Hajamwangamiza Ibilisi? 10

Biblia inatuhakikishia kwamba Mungu atamwangamiza Shetani wakati unaofaa kabisa. Soma uone kwa nini bado hajamwangamiza.

Tetemeko la Haiti—Imani na Upendo Zadhihirika 14

Tetemeko lililotukia Januari (Mwezi wa 1) 2010 nchini Haiti liliharibu majengo na kuua mamia ya maelfu ya watu. Soma uone jinsi wajitoleaji wasio na ubinafsi walivyofariji, wakaokoa uhai, na kutoa tumaini.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki