Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w81 11/1 uku. 24
  • Hatari za Tumbako kwa Afya Zafichwa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Hatari za Tumbako kwa Afya Zafichwa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
  • Habari Zinazolingana
  • Tumbako na Uchunguzi wa Kama Yafaa Kutumiwa
    Amkeni!—1990
  • Kuongozwa na Dhamiri Katika Kufanya Mema kwa Wote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Maadili ya Tumbaku?
    Amkeni!—1992
  • Mamilioni ya Uhai Yakitokomea Moshini
    Amkeni!—1995
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1981
w81 11/1 uku. 24

Hatari za Tumbako kwa Afya Zafichwa

Katika barua iliyochapwa katika “Jarida la Shirika la Kiamerika la Utibabu” (la Kiingereza), Dakt. Elizabeth M. Whelan aliandika hivi: “Kwa sababu magazeti mengi yapendwayo na watu wengi yanategemea sana mapato yao kutokana na utangazaji wa sigara, yanaficha matokeo mabaya ya tumbako kwa afya ya watu. Baada ya kuchunguza hesabu ya magazeti kadha makuu ya wanawake, sikupata hata hadithi moja yenye habari za maana juu ya tumbako na afya.”

Dakt. Whelan alieleza kwamba yeye aliombwa aandike makala yenye kichwa “Mlinde na Kansa Mwanamume Umpendaye” itumiwe katika gazeti la wanawake linalosomwa sana lenye habari za urembo na mitindo ya kujipamba. Yeye anasema, “Nililipwa pesa kamili kwa sababu ya kipande cha habari nilizoandika lakini mhariri akanieleza wazi kwamba wangeweza kutumia kisehemu tu cha habari hizo kwa sababu mimi nilitaja-taja sana tumbako na kwamba wao walikuwa wakiandika kila mwezi matangazo ya kurasa tata kamili yenye kutia watu moyo waitumie. Nyakati nyingine, nimeambiwa kwa ujasiri na mhariri wa gazeti fulani, ‘hatutaki safu za habari au hadithi zenye kueleza mambo ya tumbako.’”​—Novemba 7, 1980, ukurasa wa 2045.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki