Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 6/93 uku. 2
  • Iweni wa Kawaida Katika Utumishi wa Shambani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Iweni wa Kawaida Katika Utumishi wa Shambani
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1993
  • Habari Zinazolingana
  • Ripoti Utumishi wa Shambani kwa Usahihi
    Huduma Yetu ya Ufalme—1988
  • Sanduku La Swali
    Huduma Yetu ya Ufalme—1997
  • Mikutano ya Utumishi wa Shambani
    Huduma ya Ufalme—2009
  • Je, Wewe Hutoa Ripoti Iliyo Sahihi?
    Huduma Yetu ya Ufalme—2002
Pata Habari Zaidi
Huduma Yetu ya Ufalme—1993
km 6/93 uku. 2

Iweni wa Kawaida Katika Utumishi wa Shambani

1 Je! sisi huchukua hatua chanya ili kushiriki katika utumishi wa shambani kwa ukawaida? Je! tuna bidii-nyedelevu ya kutoa haraka ripoti yetu ya huduma ya shambani kwenye Jumba la Ufalme kila mwezi? Ni jambo ambalo kila mmoja wetu anapaswa kujitahidi kufanya, kutoruhusu mwezi upite kamwe bila kueleza hadharani imani yetu.—Rum. 10:9, 10.

2 Zaidi ya kuwa wa kawaida sisi wenyewe, tunataka kuwa chonjo kusaidia wengine washiriki kwa ukawaida katika huduma ya shambani. (Flp. 2:4) Twaweza kufanyaje hivyo? Tunaweza kualika wahubiri wasiobatizwa ambao ndipo wanaanza kazi ya huduma pamoja nasi. Ratiba isiyogeukageuka ya utumishi itasaidia kukaza imara kweli katika mioyo yao.

3 Iweni wa kawaida katika utumishi wa shambani. Toa ripoti yako kila mwezi kwa uaminifu. Saidia wengine washiriki katika ufumishi wa shambani kwa ukawaida. ‘Penda ndugu.’—1 Pet. 2:17.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki