Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • km 5/99 uku. 7
  • Je, Utahudhuria?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Je, Utahudhuria?
  • Huduma Yetu ya Ufalme—1999
  • Habari Zinazolingana
  • “Haki ya Kimungu” Mkusanyiko wa Wilaya wa 1988
    Huduma Yetu ya Ufalme—1988
  • Je, Wewe Huthamini Mambo Matakatifu?
    Huduma Yetu ya Ufalme—2000
  • “Njia ya Mungu ya Maisha” Mkusanyiko wa Wilaya na wa Kimataifa wa 1998
    Huduma Yetu ya Ufalme—1998
  • “Wachukuaji Nuru” Mkusanyiko wa Wilaya wa 1992
    Huduma Yetu ya Ufalme—1992
Pata Habari Zaidi
Huduma Yetu ya Ufalme—1999
km 5/99 uku. 7

Je, Utahudhuria?

Kuhudhuria nini? Vipindi vya Ijumaa vya Mkusanyiko wa Wilaya wa 1999 wa “Neno la Mungu la Kiunabii.” Mwaka jana katika eneo la ofisi ya tawi ya Kenya, kilele cha hudhurio Ijumaa kilikuwa 8,318 chini ya kilele cha hudhurio la Jumapili. Hiyo yamaanisha kwamba zaidi ya asilimia 15 ya jumla ya idadi ya watu waliohudhuria Jumapili walikosa thuluthi moja hivi ya programu ya mkusanyiko. Katika maeneo fulani, zaidi ya asilimia 20 walikosa thuluthi moja hivi ya programu hiyo. Je, utapanga mambo yako ili uwepo siku zote tatu za mkusanyiko wa 1999? Twatumaini hivyo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki