Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Januari uku. 2
  • Yehova Huwatunza Watu Wake

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yehova Huwatunza Watu Wake
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Lile Pambano Dhidi ya Misiba Lashindwa
    Amkeni!—1995
  • Chakula Chenye Kujenga Afya kwa Wote
    Amkeni!—2001
  • Jifunze Ukiwa na Mtazamo Unaofaa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2024
  • Chakula cha Kutosha kwa Wote!
    Amkeni!—1995
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Januari uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ISAYA 24-28

Yehova Huwatunza Watu Wake

Kama mkaribishaji mkarimu, Yehova anatuandalia chakula kingi cha kiroho.

Watu katika nyakati za Biblia wakila mlo pamoja

“Yehova wa majeshi hakika atavifanyia vikundi vyote vya watu . . . karamu”

25:6

  • Katika nyakati za Biblia, watu walipokula mlo pamoja walionyesha kwamba kuna amani na urafiki kati yao

“Ya vyakula vinono vilivyotiwa mafuta vilivyojazwa urojorojo, ya divai iliyowekwa kwenye machicha, iliyochujwa”

  • Vyakula vinono na divai iliyowekwa kwenye machicha, iliyochujwa inawakilisha chakula bora kabisa cha kiroho ambacho Yehova anatuandalia

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki