Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Januari uku. 4
  • “Ee Yehova, . . . Nimekutegemea Wewe”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Ee Yehova, . . . Nimekutegemea Wewe”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Fanya Yehova Awe Itibari Yako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1988
  • Mfalme Apata Thawabu kwa Sababu ya Imani Yake
    Unabii wa Isaya I—Nuru kwa Wanadamu Wote
  • Ametupa Uhuru wa Kuchagua
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • Mungu Anamsaidia Mfalme Hezekia
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Januari uku. 4

MAISHA YA MKRISTO

“Ee Yehova, . . . Nimekutegemea Wewe”

Hezekia akisali

Ni muhimu kumtegemea Yehova nyakati zote iwe tunakabili hali nzuri au mbaya. (Zb 25:1, 2) Katika karne ya nane K.W.K., Wayahudi katika taifa la Yuda walikabili hatari iliyojaribu imani yao kwa Mungu. Matukio hayo yanatufundisha mambo mengi. (Ro 15:4) Baada ya kutazama video “Ee Yehova, . . . Nimekutegemea Wewe,” unaweza kujibuje maswali yafuatayo?

  1. Ni hatari gani ambayo Hezekia alikabili?

  2. Hezekia alitumiaje kanuni inayopatikana kwenye Methali 22:3 alipotarajia kwamba jiji litazingirwa?

  3. Kwa nini Hezekia hata hangefikiria kujisalimisha kwa Waashuru au kuwaomba Wamisri wamsaidie?

  4. Hezekia anawawekeaje Wakristo mfano mzuri?

  5. Ni hali gani leo zinazojaribu imani yetu katika Yehova?

Andika ni katika hali zipi ungependa kuonyesha zaidi kwamba unamtegemea Yehova.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki