Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Mei uku. 6
  • Usiendelee “Kujitafutia Makuu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Usiendelee “Kujitafutia Makuu”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Baruku Mwandishi Mwaminifu wa Yeremia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Epuka “Kujitafutia Makuu”
    Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia
  • Inakupasa Kuchagua Njia Inayofaa Sasa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
  • Imarisha Urafiki Wako Pamoja na Wengine Kabla ya Mwisho Kufika
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2019
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Mei uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | YEREMIA 44-48

Usiendelee “Kujitafutia Makuu”

45:2-5

Yawezekana kwamba Baruku alikuwa ofisa mwenye elimu katika nyumba ya mfalme. Ingawa alimwabudu Yehova na alimsaidia Yeremia kwa uaminifu, wakati mmoja alipoteza usawaziko. Alianza “kujitafutia makuu,” labda alitaka umashuhuri zaidi katika makao ya mfalme au utajiri. Alihitaji kubadili mtazamo wake ili aweze kuokoka uharibifu wa Yerusalemu uliokuwa ukikaribia.

Baruku anatumikia akiwa karani wa Yeremia huku akiwazia kuwa na vitu vya kimwili na umashuhuri mkubwa
Mfululizo wa matukio unaoonyesha wakati Yeremia alipowekwa rasmi kuwa nabii, Baruku alipoanza kumsaidia, na Yerusalemu lilipoanguka
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki