Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Machi uku. 6
  • “Chachu Kidogo Huchachisha Donge Lote”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Chachu Kidogo Huchachisha Donge Lote”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Kutenga na Ushirika Ni Mpango Wenye Upendo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2015
  • Sababu Inayofanya Kutenga na Ushirika Kuwe Mpango Wenye Upendo
    Amkeni!—1996
  • Mpendwa Wako Anapomwacha Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Tunaonyesha Upendo kwa Kuunga Mkono Nidhamu Inayotoka kwa Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Machi uku. 6
Mwanamke aliyetengwa na ushirika akitoka nje ya Jumba la Ufalme baada ya mkutano; anaona ndugu na dada wakisalimiana

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | 1 WAKORINTHO 4-6

“Chachu Kidogo Huchachisha Donge Lote”

5:1, 2, 5-11, 13

Kwa nini tunaweza kusema kwamba mpango wa kutenga na ushirika ni uandalizi wenye upendo ingawa unasababisha maumivu mengi?

Kutenga na ushirika huonyesha upendo kwa . . .

  • Yehova kwa kuliheshimu jina lake takatifu.—1Pe 1:15, 16

  • kutaniko kwa kulilinda dhidi ya uvutano wenye kuchafua.—1Ko 5:6

  • mkosaji kwa kumsaidia arudiwe na fahamu.—Ebr 12:11

Unaweza kufanya nini ili kuwasaidia Wakristo ambao ni wa familia ya mtu aliyetengwa na ushirika?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki