Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Julai uku. 8
  • Unaweza Kujifunza Nini Kutoka Kwao?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unaweza Kujifunza Nini Kutoka Kwao?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Wamasora Walikuwa Nani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Upendo Wangu kwa Dunia Utatoshelezwa Milele
    Amkeni!—1998
  • Kwa Nini Watu Hawana Heshima?
    Amkeni!—2024
  • Akina Ndugu Vijana​—⁠Mnawezaje Kuwa Wakristo Wakomavu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2023
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Julai uku. 8
Elisha akimtazama Eliya akiupasua Mto Yordani akitumia vazi lake rasmi

MAISHA YA MKRISTO

Unaweza Kujifunza Nini Kutoka Kwao?

Je, umewekwa rasmi hivi karibuni kuwa mtumishi wa huduma au mzee? Unaweza kuwa na ujuzi, uwezo, au elimu ambayo wazee au watumishi wa huduma wengine hawana. Hata hivyo, kuna mambo mengi unayoweza kujifunza kutoka kwa akina ndugu hao na kutoka kwa wanaume wa kiroho ambao kwa sasa hawatumikii katika mapendeleo hayo kwa sababu ya umri, matatizo ya afya, au majukumu ya familia.

TAZAMENI VIDEO WAHESHIMU NDUGU WENYE UZOEFU, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  1. Ndugu Richards akimsomea Ben andiko

    1. Ndugu Richards alionyeshaje kwamba alimheshimu Ndugu Bello?

  2. Ben akisasisha ramani za maeneo

    2. Ben alifanya kosa gani, na kwa nini?

  3. Ndugu Bello akizungumza na Ben huku wakifurahia viburudisho

    3. Ben alijifunza somo gani kutokana na mfano wa Elisha?

  4. 4. Iwe wewe ni ndugu au dada, unaweza kuonyeshaje kwamba unawaheshimu Wakristo wengine wenye uzoefu na kujifunza kutoka kwao?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki