Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Mei uku. 2
  • Ndugu za Yosefu Wamwonea Wivu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ndugu za Yosefu Wamwonea Wivu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Upendo Hushinda Wivu Usiofaa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Wivu kwa Ajili ya Ibada Safi ya Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Unalopaswa Kujua Juu ya Wivu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Je, Wakristo Wanapaswa Kuwa na Wivu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Mei uku. 2
Ndugu za Yosefu wakimtoa kwenye shimo la maji. Mmoja wa ndugu zake akiwa ameshika joho la Yosefu.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 36-37

Ndugu za Yosefu Wamwonea Wivu

37:3-9, 11, 23, 24, 28

Mambo yaliyompata Yosefu yanaonyesha madhara yanayosababishwa na wivu usiofaa. Patanisha maandiko yafuatayo na sababu zinazofanya tung’oe kabisa hisia zozote za wivu usiofaa.

ANDIKO

  • 1Sa 18:8, 9

  • Met 14:30

  • 2Ko 12:20

  • Gal 5:19-21

SABABU

  • Watu wenye wivu hawataurithi Ufalme wa Mungu

  • Wivu huvuruga amani na umoja kutanikoni

  • Wivu husababisha madhara ya kimwili

  • Wivu hutuzuia kuona sifa nzuri za wengine

Ni hali gani zinazoweza kutufanya tuwe na wivu?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki