Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Julai uku. 2
  • “Sasa Utaona Mambo Nitakayomtendea Farao”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Sasa Utaona Mambo Nitakayomtendea Farao”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Ni Nani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Mfalme Mbaya Anatawala Misri
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • ‘Yah Ndiye Wokovu Wangu’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Kuvuka Bahari Nyekundu (ya Shamu)
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Julai uku. 2
Waisraeli na kundi kubwa lenye mchanganyiko wa watu ambao si Waisraeli wakiondoka Misri.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 6-7

“Sasa Utaona Mambo Nitakayomtendea Farao”

6:1, 6, 7; 7:4, 5

Kabla ya kuleta mapigo dhidi ya Misri na kuwakomboa Waisraeli kutoka utumwani, Yehova aliwaambia Waisraeli mambo aliyokuwa karibu kufanya. Wangeona nguvu za Yehova katika njia ambazo hawakuwa wamewahi kuona, na kwa hakika Wamisri wangejua Yehova ni nani. Ahadi za Mungu zilipotimia, imani ya Waisraeli iliimarishwa, na hilo liliwasaidia kusimama imara dhidi ya uvutano wa kidini uliokuwepo Misri.

Simulizi hili la Biblia linaimarishaje imani yako kwamba ahadi za Mungu za wakati ujao zitatimizwa?

Waabudu waaminifu wa Yehova wakitoka katika ile dhiki kuu.
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki