Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Julai uku. 3
  • Farao Mwenye Kiburi Atumiwa Kutimiza Kusudi la Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Farao Mwenye Kiburi Atumiwa Kutimiza Kusudi la Mungu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Musa na Aroni—Wapiga-Mbiu Wenye Moyo Mkuu wa Neno la Mungu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Musa na Haruni Wanamwona Farao
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
  • Je, Ni Vibaya Kuwa na Kiburi?
    Amkeni!—1999
  • Yehova Ni Nani?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Julai uku. 3
Farao akinyoosha mkono wake na kugeuka huku Musa na Haruni wakijaribu kuzungumza naye.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 8-9

Farao Mwenye Kiburi Atumiwa Kutimiza Kusudi la Mungu

8:15, 18, 19; 9:15-17

Mafarao wa Misri walijiona kuwa miungu. Hilo linatusaidia kuelewa sababu iliyomfanya Farao awe na kiburi sana hivi kwamba akakataa kumsikiliza Musa na Haruni na hata makuhani wake wachawi.

Je, wewe husikiliza mapendekezo yanayotolewa na watu wengine? Je, unathamini unaposhauriwa? Au je, wewe huhisi kwamba sikuzote uko sahihi? “Kiburi hutangulia kuanguka kwa kishindo.” (Met 16:18) Ni muhimu sana kuepuka kuwa na kiburi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki