Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb20 Oktoba uku. 2
  • Ikimbieni Ibada ya Sanamu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ikimbieni Ibada ya Sanamu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Kwa Nini Kujilinda na Ibada ya Sanamu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Ni Ibada Gani Inayokubalika kwa Mungu?
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
  • Jilinde na Ibada ya Sanamu ya Kila Aina
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1993
  • Umati Mkubwa Usioweza Kuhesabiwa Utabarikiwa na Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2020
mwb20 Oktoba uku. 2
Waisraeli wakicheza dansi kuzunguka ndama wa dhahabu.

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | KUTOKA 31-32

Ikimbieni Ibada ya Sanamu

32:1, 4-6, 9, 10

Inaonekana kwamba maoni ya Waisraeli kuhusu ibada ya sanamu yalikuwa yameathiriwa na Wamisri. Leo, ibada ya sanamu inaweza kuendelezwa katika njia mbalimbali, na huenda ikawa vigumu kutambua baadhi yake. Ingawa huenda tusiabudu sanamu moja kwa moja, tunaweza kuwa waabudu wa sanamu ikiwa tutaruhusu tamaa zetu za kibinafsi kutukengeusha tusimwabudu Yehova kwa moyo wote.

Picha: Watu wa familia wakiendelea na shughuli za kila siku. 1. Baba akiendelea na kazi baada ya muda wa kawaida katika karakana. 2. Mvulana akicheza michezo ya video. 3. Mama akinunua vitu kadhaa dukani.

Ni mambo gani ya kila siku yanayoweza kunikengeusha nisimwabudu Yehova, na ninaweza kufanya nini ili yasiwe muhimu kuliko ibada yangu kwa Yehova?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki