Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb21 Mei uku. 5
  • Tumia Mifano Kufafanua Mambo Makuu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tumia Mifano Kufafanua Mambo Makuu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Habari Zinazolingana
  • Mifano Inayofundisha
    Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha
  • Kubali Msaada wa Yehova Kupitia Sala
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Tumia Neno la Mungu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
  • Uliza Maswali
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2021
mwb21 Mei uku. 5
Mama na binti yake wakitazama ndege na maua huku wakisikiliza Mahubiri ya Yesu ya Mlimani.

BORESHA HUDUMA YAKO | ONGEZA SHANGWE YAKO KATIKA HUDUMA

Tumia Mifano Kufafanua Mambo Makuu

Tunapofanya ziara za kurudia au kuongoza mafunzo ya Biblia, tunahitaji kuwasaidia wasikilizaji wetu kuelewa mambo makuu. Tunapotoa mifano kufafanua mambo hayo, tunaweza kuchochea mioyo yao na kufanya iwe rahisi zaidi kukumbuka mafundisho hayo.

Unapojitayarisha kwa ajili ya ziara ya kurudia au funzo la Biblia, toa mifano inayohusiana na mambo makuu uliyoteua, si mambo madogo. Kisha chagua mifano rahisi inayohusisha utendaji wa kila siku. (Mt 5:14-16; Mk 2:21; Lu 14:7-11) Zingatia malezi na utendaji wa msikilizaji wako. (Lu 5:2-11; Yoh 4:7-15) Unapoona shangwe ya msikilizaji wako anapoelewa jambo unalozungumzia, utapata shangwe.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA PATA SHANGWE YA KUFANYA WANAFUNZI—BORESHA USTADI WAKO—KUTUMIA MIFANO KUFAFANUA MAMBO MAKUU, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Picha kutoka kwenye video ‘Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi—Boresha Ustadi Wako—Kutumia Mifano Kufafanua Mambo Makuu.’ Lulu anamuuliza Neema swali.

    Kwa nini huenda wanafunzi wakahitaji msaada kuelewa mistari ya Biblia?

  • Picha kutoka kwenye video ‘Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi—Boresha Ustadi Wako—Kutumia Mifano Kufafanua Mambo Makuu.’ Neema anamsimulia Lulu mfano.

    Neema alitumia mfano gani ili kufundisha kweli inayopatikana kwenye Waroma 5:12?

  • Picha kutoka kwenye video ‘Pata Shangwe ya Kufanya Wanafunzi—Boresha Ustadi Wako—Kutumia Mifano Kufafanua Mambo Makuu.’ Neema anamwonyesha Lulu video.

    Mifano mizuri hugusa moyo

    Mifano mizuri inaweza kuwa na matokeo gani kwa wasikilizaji wetu?

  • Tunapokuwa katika huduma, kwa nini tunapaswa kutumia video na vifaa vingine vya kufundishia vilivyoandaliwa na tengenezo la Yehova?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki