HAZINA ZA NENO LA MUNGU
Mambo Tunayojifunza Kutokana na Kutoelewana
Makabila yaliyoishi mashariki mwa Yordani yalijenga madhabahu kubwa inayovutia (Yos 22:10)
Makabila yale mengine yaliwashtaki kwamba hawakuwa waaminifu (Yos 22:12, 15, 16; w06 4/15 5 ¶3)
Jibu la upole kutoka kwa walioshtakiwa kimakosa lilizuia vita (Yos 22:21-30; w08 11/15 18 ¶5)
Simulizi hili linatufundisha nini kuhusu jinsi ya kutenda tunaposhtakiwa kimakosa na kuhusu umuhimu wa kutofikia mkataa haraka bila kuwa na habari kamili?—Met 15:1; 18:13.