Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Septemba uku. 4
  • Chagua Mwenzi wa Ndoa kwa Hekima

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Chagua Mwenzi wa Ndoa kwa Hekima
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2018
  • Wasaidie Vijana Wafanikiwe
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Je! Mungu Hujali Juu ya Unayeoa au Unayeolewa Naye?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Yehova Ni Mwenye Ufikirio
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Septemba uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Chagua Mwenzi wa Ndoa kwa Hekima

Sulemani hakutenda kwa hekima alipooa wanawake walioabudu miungu ya uwongo (1Fa 11:1, 2; w18.07 18 ¶7)

Hatua kwa hatua wake wa Sulemani waliugeuza moyo wake kutoka kwa Yehova (1Fa 11:3-6; w19.01 15 ¶6)

Yehova alimkasirikia vikali Sulemani (1Fa 11:9, 10; w18.07 19 ¶9)

Picha: Dada mseja akifanya funzo la kibinafsi la Biblia huku akifikiri kuhusu ndugu mseja. 1. Ndugu huyo anatoa maelezo kwenye mkutano wa kutaniko. 2. Anashiriki mahubiri ya hadharani. 3. Anasaidia kudumisha Jumba la Ufalme.

Neno la Mungu linawashauri Wakristo waseja kuoa au kuolewa “katika Bwana tu.” (1Ko 7:39) Hata hivyo, haimaanishi kwamba kwa sababu tu mtu amebatizwa, yeye ni mwenzi anayefaa. Je, mtu huyo atakusaidia kuendelea kumtumikia Yehova kwa moyo wote? Je, mtu huyo amethibitisha kwa muda wa kutosha kwamba anampenda Yehova kwa dhati? Kabla ya kukubali kufunga ndoa, jipe muda wa kumjua vizuri mtu huyo unayemfikiria.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki